TFS, Land Africa Safaris kushirikiana kukuza utalii kupitia mbio za Cape to Cairo Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeingia katika mpango wa ushirikiano na kampuni ya Land Africa Safaris ili kukuza utalii wa ikolojia kupitia tukio la Cape to Cairo Arusha International Marathon linalotarajiwa kufanyika Mei 28 hadi 30, 2026 mkoani Arusha. Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao kilichofanyika Machi 17, 2026 katika…

Read More

SUA yaanza Maandalizi ya utafiti wa Mpunga Himilivu kwa mabadiliko ya tabianchi na rafiki kwa mazingira Africa.

 Na: Calvin Gwabara – Morogoro Tanzania. Mradi wa Mpunga Himilivu kwa mabadiliko ya Tabianchi na Rafiki kwa Mazingira Barani Afrika (Climate-resilient and Eco-friendly Rice for Africa) (CERA) umechukua hatua muhimu katika kuboresha kilimo cha mpunga kwa kuendesha mafunzo maalum kwa wakusanyaji takwimu katika utafiti unaotarajia kufanyika kwenye Mikoa ya Morogoro, Shinyanga na Songwe nchini Tanzania….

Read More

BAADA YA SADC KUITAJA TANZANIA KINARA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA; KAMISHNA LUOGA ATAKA WATUMISHI KUKUZA MATUMIZI YA NISHATI HIYO

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Watumishi wa Wizara ya Nishati kuendelea kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini ili kufanikisha ajenda hiyo  ambayo kinara wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameeleza kuwa ajenda ya nishati safi ya kupikia tayari imeanza kuonesha mafanikio…

Read More