Jukwaa la usafiri mtandaoni lawafariji watoto yatima Dodoma
Dar es Salaam. Wawakilishi wa jukwaa jipya la usafiri wa kukodi mtandaoni, Maxim, wametembelea kituo cha watoto yatima cha Tumaini Foundation kilichopo jijini Dodoma, na kutoa msaada wa chakula unaotarajiwa kudumu kwa miezi miwili hadi mitatu kwa watoto zaidi ya 150 wanaolelewa kituoni hapo. Ziara hiyo haikulenga salamu za kawaida wala kupiga picha za kumbukumbu…