Aliyemuua mwanawe akitaka utajiri ahukumiwa kunyongwa

Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Joseph Mhulila baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mtoto wake, Timotheo Mhulila (4), kinyume na vifungu namba 196 na 197 vya Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya mwaka 2022. Hukumu hiyo ilitolewa katika kesi ya jinai namba 25532/2025, Jamhuri dhidi…

Read More

Kongole Wizara ya Maji kwa mafanikio ya programu ya WSDP

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Wizara ya Maji inatekeleza programu mbalimbali za kimaendeleo zenye lengo la kuboresha usambazaji wa maji kwa wananchi wake na kufanikisha miradi mingine ya umwagiliaji ambayo ni kichochea muhimu kwa ustawi wa shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na huduma nyingine za kijamii. Miongoni mwa mipango inayosimamiwa na Wizara ya Maji yenye…

Read More

Minara mipya 600 ya simu kujengwa Tanzania

Dar es Salaam. Serikali inajiandaa kuanza ujenzi wa minara mipya 600 katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, huku Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikisisitiza usimamizi wa ubora wa miundombinu hiyo ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya wananchi. Agizo hili limetolewa kufuatia malalamiko ya minara isiyokuwa na ubora, ambayo husababisha kushindwa kutoa huduma bora, hasa katika maeneo…

Read More

Panga pangua ya Samia | Mwananchi

Dar es Salaam. Rais  Samia Suluhu Hassan ameendelea kuimarisha safu yake ya utendaji kwa kufanya uteuzi viongozi na kupanga vituo vipya kwa balozi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma pamoja na kuimarisha mahusiano ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 18,2025  na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, mabadiliko hayo yanagusa maeneo…

Read More