Minara mipya 600 ya simu kujengwa Tanzania
Dar es Salaam. Serikali inajiandaa kuanza ujenzi wa minara mipya 600 katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, huku Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikisisitiza usimamizi wa ubora wa miundombinu hiyo ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya wananchi. Agizo hili limetolewa kufuatia malalamiko ya minara isiyokuwa na ubora, ambayo husababisha kushindwa kutoa huduma bora, hasa katika maeneo…