Habari
Nguesso ashinda tena urais Congo-Brazzaville kwa asilimia 95
Kwa ushindi huo ushindi huo Nguesso mwenye umri wa miaka 82 ataendeleza utawala wake ambao umechukua takribani miaka 42 katika taifa hilo la Afrika ya Kati. Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 94.82 ya kura. Matokeo hayo yametangazwa usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi…
SENEGAL YAVULIWA UBINGWA AFCON 2025, MOROCCO YATANGAZWA MSHINDI
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV SHIRIKISHO la Mpira Barani Afrika kupitia bodi ya (CAF,) imeamua kwamba Senegal wamefanikiwa “kujitoa mchezoni” (forfeit) na hivyo Morocco kutangazwa washindi wa michuano kwa ushindi wa 3-0 kwa mujibu wa sheria za mashindano. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CAF na kuzua mijadala imeeleza kuwa Senegal walikiuka Kifungu cha 82…
SHINYANGA KUPAA KIUCHUMI KUPITIA KIWANJA CHA NDEGE: ULEGA
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa mradi wa upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga kunatarajiwa kuchochea shughuli za kibiashara na uwekezaji, hatua itakayosaidia kuimarisha muunganiko wa kiuchumi kati ya mkoa huo na mikoa jirani. Ulega ametoa kauli hiyo mkoani Shinyanga mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo na kueleza kuridhishwa na…
Polisi Wasisitiza Ubora wa Madereva Kupitia Mafunzo ya Kisasa
Global Publishers March 17, 2026 0 Comments Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Arusha limetoa mafunzo maalumu ya mfumo mpya wa TEHAMA juu ya usimamizi na usajili wa shule za udereva kwa wakuu wa vyuo na wakufunzi wa vyuo hivyo lengo likiwa ni kupata madereva wenye bora na kupunguza au kuondoa kabisa…
Iran Yathibitisha Kuuawa kwa Mkuu wa Usalama Ali Larijani
Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Serikali ya Iran kupitia vyombo vyake vya habari imekiri rasmi kifo cha Ali Larijani, aliyekuwa Mkuu wa Baraza la Taifa la Usalama (Supreme National Security Council). Hii ni mara ya kwanza kwa mamlaka za Tehran kuthibitisha taarifa hizo baada ya siku kadhaa za ripoti kutoka vyanzo vya kimataifa…
KONGAMANO LA MISA TAN SUMIT 2026 LAFANA MKOANI IRINGA
🎈 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James akaribisha kuwekeza Iringa 🎈NSSF yatoa elimu kwa wadau, wataka wajiunge wafaidike na Mafao Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James amefungua Kongamano la MISA TAN WADAU SUMMIT 2026 ambao umewakutanisha waandishi wa habari, wahariri na wadau wa habari ambapo amesema serikali ya Mkoa wa Iringa itaendelea kushirikiana…
Utata! Mume Auza Nyumba Mke Na Mtoto Wakiwa Ndani – Video
Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Tukio lililozua taharuki kubwa wiki iliyopita katika eneo la Mtoni Mtongani, mtaa wa Nuru, limeibua maswali mazito ya kisheria na kijamii baada ya Athumani Musa kudaiwa kuuza nyumba ya familia bila kumshirikisha mke wake, Neema. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, Athumani anadaiwa kufanya uamuzi wa kuuza nyumba hiyo…
Senegal Wanyang’anywa Ubingwa wa AFCON, Morocco Washinda Mezani
Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Mabingwa wa Afrika, Senegal wamepokonywa rasmi taji la Africa Cup of Nations miezi miwili baada ya sherehe kubwa za ushindi, kufuatia uamuzi wa kushangaza wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Uamuzi huo umeipa Morocco ushindi wa mezani wa mabao 3-0, baada ya bodi ya rufaa ya CAF kukubaliana…
Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain Watinga Robo Fainali UEFA
Global Publishers March 18, 2026 0 Comments Timu za Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya UEFA Champions League baada ya kuonyesha ubora mkubwa katika michezo ya hatua ya 16 bora iliyopigwa usiku wa kuamkia leo. Katika dimba la Stamford Bridge, Paris Saint-Germain waliendeleza ubabe wao kwa kuichapa Chelsea…