KONGAMANO LA MISA TAN SUMIT 2026 LAFANA MKOANI IRINGA

🎈 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James akaribisha kuwekeza Iringa 🎈NSSF yatoa elimu kwa wadau, wataka wajiunge wafaidike na Mafao Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James amefungua Kongamano la  MISA TAN WADAU SUMMIT 2026 ambao umewakutanisha waandishi wa habari, wahariri na wadau wa habari ambapo amesema serikali ya Mkoa wa Iringa itaendelea kushirikiana…

Read More

Zoya: Binti wa miaka 14 anayepigania wasichana kubaki shuleni

Dar es Salaam. Methali isemayo “penye nia pana njia” inaakisi vyema safari ya Zoya-Fatimah Dewji (Zoya), msichana mwenye umri wa miaka 14 ambaye ameanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na hedhi – moja ya changamoto zinazowazuia wasichana wengi nchini Tanzania kuhudhuria masomo kikamilifu. Licha ya kuwa bado ni mwanafunzi, Zoya ameanzisha kampeni iitwayo “Stay in School”…

Read More

Fahamu Nchi 20 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani 2026

Nguvu ya kijeshi kisasa haipimwi tu kwa kuhesabu askari. Inahusisha idadi ya wanajeshi, bajeti za ulinzi, teknolojia ya kisasa, uwezo wa kimkakati, na ushirikiano wa kijeshi. Mnamo mwaka 2026, majeshi yenye nguvu zaidi duniani yanaimarisha ushawishi wao wa kimataifa kupitia anga, baharini, mitandao ya kielektroniki, na ulinzi wa anga ya juu. Kulingana na Global Firepower…

Read More

MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE AITAKA MUHAS KUONGEZA KASI YA KUITANGAZA KAMPASI YA MLOGANZIL

******* Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Mhe. Husna Sekiboko, amekitaka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kwa kushirikiana na Wizara, kuongeza kasi ya kuitangaza Kampasi ya Mloganzila kutokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea. Mhe. Sekiboko ametoa rai hiyo Machi 17, 2026 jijini Dar es Salaam wakati…

Read More