TASAC YATAKA WANANCHI KUTUMIA VYOMBO VILIVYOIDHINISHWA KUBEBA ABIRIA
Na Mwandishi wetu Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataarifu wananchi wanaotumia usafiri kwa njia ya maji kutumia vyombo vya usafiri majini vilivyoidhinishwa kubeba abiria na kuepuka kupanda vyombo vya mizigo ambavyo haviruhusiwi kubeba abiria. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na TASAC, wananchi wanahimizwa kuchukua tahadhari kufuatia visa vinavyoripotiwa vya baadhi ya…