Shincheonji Yaadhimisha Miaka 42: “Kutoka Kwenye Handaki Hadi Kuwa Dhehebu Linaloongezeka kwa Makumi ya Maelfu Kila Mwaka”

*Ibada ya Ukumbusho Iliyofanyika katika Kanisa la Cheongju, Shincheonji Kanisa la Yesu tarehe 15 *Siri ya Ukuaji wa Haraka wa Vizazi Vingi: Mafundisho ya Kipekee  Mwenyekiti Lee Man-hee akitoa ujumbe katika Ibada ya Kuadhimisha Miaka 42 ya Kuanzishwa kwa Shincheonji Kanisa la Yesu, iliyofanyika katika Kanisa la Cheongju, Shincheonji Kanisa la Yesu tarehe 15. Kujitolea…

Read More

Serikali yajifunga kitanzi maji ya uhakiki mradi wa Same–Mwanga–Korogwe

Mwanga. Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanaozungukwa na mradi mkubwa wa maji wa Same–Mwanga–Korogwe wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika wakati wote. Hatua hiyo inalenga kuboresha maisha ya wananchi pamoja na kulinda afya za jamii zinazoishi katika maeneo yanayonufaika na mradi huo. Akizungumza leo Jumanne Machi 17, 2026…

Read More

Viongozi ACT Wazalendo wadaiwa kukamatwa na Polisi Kagera

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe inadaiwa  amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera alikokwenda kwa ziara ya kikazi ya chama hicho.  Rithe inadaiwa amekamatwa pamoja na Naibu Katibu wa Ngome ya Wanawake ya chama hicho, Severina Mwijage, waliokuwa pamoja katika ziara hiyo. Taarifa ya kukamatwa kwa Rithe…

Read More

WAZIRI WA NISHATI DEOGRATIUS NDEJEMBI AAGIZA REA KUWEZESHA UZALISHAJI WA NISHATI SAFI

Na Farida Mangube, Morogoro  Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuandaa mpango madhubuti wa kuwawezesha wananchi kuzalisha nishati safi ya kupikia kwa kutumia pumba za mpunga. Agizo hilo limetolewa wakati wa ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi lililofanyika mkoani Morogoro, likihusisha wadau kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Hatua…

Read More