Shughuli ya kuwatafuta watu watatu waliozama majini yaendelea

Tanga. Utafutaji wa watu watatu waliopotea kufuatia kuzama kwa jahazi katika Bahari ya Hindi, eneo la Nungwi kisiwani Unguja, bado unaendelea huku matumaini ya kuwapata yakiwa yameanza kupungua. Jahazi hilo lililosajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo, lilikuwa limebeba watu 12 kinyume na taratibu wakati lilipopata ajali Machi 14, 2026. Miili ya watu wawili ilipatikana jana,…

Read More

Huduma za afya CCBRT zatikiswa, sababu zatajwa

Dar es Salaam. Dalili za kuyumba kwa baadhi ya huduma zimeanza kuonekana katika Hospitali ya CCBRT, inayojulikana kwa huduma za matibabu maalumu ya wenye ulemavu na uzazi kutokana na changamoto za kifedha. Ugumu unaopitiwa na hospitali hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam, ni katika utoaji wa huduma bure kwa watu wenye matatizo ya macho,…

Read More

Ushirikiano wa UNDP, TIB kuibua uchumi jumuishi na endelevu

Dar es Salaam. Mkataba wa makubaliano uliosainiwa kati ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na Benki ya TIB umetajwa kuwa hatua muhimu itakayoiwezesha Tanzania kuimarisha vyanzo vya ndani vya maendeleo na kupunguza utegemezi wa wafadhili wa kimataifa. Makubaliano hayo ya miaka minne yanalenga kuendeleza mifumo bunifu ya ufadhili wa maendeleo, itakayochangia mageuzi…

Read More

Nchimbi: Magufuli ameacha darasa la uongozi

Dar es Salaam/Chato. Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema maisha na uongozi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli yalikuwa darasa muhimu kwa viongozi na Watanzania kwa ujumla, akisisitiza kuwa namna bora ya kumuenzi ni kuishi na kutenda yale aliyoyaamini. Nchimbi ameyasema hayo leo Machi 17, 2026 alipozungumza baada ya misa takatifu…

Read More

SERIKALI KUIFANYA KAMPASI YA MLOGANZILA MJI WA KITAALUMA NA TIBA, YATENGA DOLA MILIONI 83 KUJENGA KITUO CHA UMAHIRI CHA MOYO

****** Serikali imedhamiria kuwa Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) itakuwa mji wa kitaaluma na tiba, ikijumuisha vituo vya umahiri vitakavyotoa huduma za matibabu, elimu na utafiti ili kuimarisha sekta ya afya na elimu ya juu nchini. Hatua hiyo, inatokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea katika Kampasi hiyo, pamoja…

Read More

Bandari ya Maruhubi yafanyiwa majaribio ya kushusha, kupakia

Unguja. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amezindua majaribio ya ushushaji wa mizigo katika Bandari ya Mpigaduri. Bandari hiyo inatajwa kuwa    mwarobaini wa msongamano katika bandari ya Malindi ambayo imekuwa ikilalamikiwa kutokana na kuzidiwa, hivyo kufanya shughuli kuzorota. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Mpigaduri, Maruhubi, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja…

Read More

KERRY 2026 TASTE CHARTS REVEAL TANGERINE, TAMARIND, AND MANGO CHILLI DRIVE A CONTINENT-WIDE SHIFT IN FLAVOUR

 *********** TANZANIA, Dar Es Salaam – Kerry, the global leader in taste and nutrition, has unveiled the Tanzania 2026 Taste Charts, highlighting a definitive shift in consumer palates across the continent. The new reports, covering 54 countries across Africa, including Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Zambia, signal that African consumers are moving beyond traditional staple…

Read More