CCBRT yatikisika, sababu yatajwa | Mwananchi
Dar es Salaam. Dalili za kuyumba kwa baadhi ya huduma zimeanza kuonekana katika Hospitali ya CCBRT, inayojulikana kwa huduma za matibabu maalumu ya wenye ulemavu na uzazi kutokana na changamoto za kifedha. Ugumu unaopitiwa na hospitali hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam, ni katika utoaji wa huduma bure kwa watu wenye matatizo ya macho,…