SERIKALI YAIPONGEZA SOS CHILDREN VILLAGE KUANZISHA MAKUNDI YA MALEZI NA MAKUZI
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha SERIKALI imesema vikundi vya Malezi na Makuzi vinavyoendelea kuanzishwa nchini vimekuwa chachu ya kupunguza tatizo la ukatili wa watoto kwa kuongeza ulinzi na usalama dhidi yao. Aidha jamii imetakiwa kuungana kwenye suala zima la malezi na makuzi ya mtoto na kwamba Baba anapaswa kuungana na mke wake kuhakikisha mtoto…