Fahamu Madhara ya Vyakula Vitamu Kupita Kiasi kwa Afya ya Figo

Watu wengi huamini kuwa kula vyakula vyenye sukari nyingi kunaweza kusababisha unene, kisukari na hata matatizo ya figo. Kulingana na wataalamu wa afya, jambo hili lina ukweli kwa sababu matumizi makubwa ya sukari yanaweza kuathiri afya ya figo kwa njia mbalimbali. Sukari Nyingi Inavyoathiri MwiliLishe yenye sukari nyingi mara nyingi husababisha unene kupita kiasi na…

Read More

WANAWAKE MKOANI IRINGA WAASWA KUACHANA NA MIKOPO YA SHIKILIA DERA

Na Rose Ngunangwa, Iringa Wanawake Mkoani Iringa wameaswa kuachana na mikopo almarufu kama Shikilia Dera au Ndala mkononi kwani mikopo hiyo imekuwa ikisababisha mali za familia kuuzwa au kutaifishwa ili kufidia na kuiacha familia ikiingia kwenye lindi la umaskini. Mikopo hiyo imepewa jina la shikilia dera au kandamili mkononi kutokana na wanawake wanaochukua kulazimika kushikilia…

Read More

Airtel Tanzania Inathibitisha Dhamira yake ya Kuunganisha na Kukuza Ujumuishaji wa Kifedha Wakati wa Iftari ya Ramadan

Dar es Salaam, Machi 9, 2026.  KAMPUNI ya Airtel Tanzania Jumatatu iliandaa hafla maalumu ya Iftari ya Ramadan jijini Dar es Salaam, ikiwakutanisha viongozi wa serikali, wateja, wadau na wanahabari katika hali ya umoja, tafakari na shukrani wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar,…

Read More