WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KATAVI
▪︎ Aagiza viongozi kushughulikia kero za wananchi badala ya kusubiri viongozi wakuu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 16, 2026 amehitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Katavi iliyoanza Machi 13, 2026 ambapo ameelekeza viongozi wa wilaya na halmashauri nchini kuhakikisha wanashughulikia changamoto za wananchi kwa wakati bila kusubiri ziara za viongozi wa kitaifa. Akizungumza…