Urithi wa Magufuli; mafanikio, changamoto na mjadala wa haki za binadamu
Dar es Salaam. Miaka mitano imepita tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, lakini jina lake bado linaendelea kuibua mijadala katika siasa, uchumi, na utawala wa umma. Moja ya vipengele vilivyomfanya ashikilie kumbukumbu ya wananchi ni majina ya utani aliyoyapata ya JPM, Buldoza, Jiwe na Chuma. Kila jina linaashiria sifa…