ODDS za Kishua Zipo Meridianbet

KAMA unataka ODDS za kishua njoo Meridianbet?. Safari yako ya ushindi ipo hapa pekee hivyo changamkia nafasi hii leo. Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana kwa kila mechi. CHAMPIONSHIP Uingereza kuna mchezo mmoja ambao utaendelea kati za Portsmouth dhidi ya Derby Country ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo…

Read More

SOMBA AANZA KAZI NA TPBRC

****** Afisa habari wa chama cha makocha wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania TPBCA, Dauka Somba amefanya kikao na makamu mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania, TPBRC, Jacob Mbuya. Somba na Mbuya wamefanya kikao hiko leo katika ofisi za TPBRC zilizopo Ilala jijini Dar es salaam lengo likiwa ni kuandaa mikakati ya kuboresha…

Read More

Wawili waliohukumiwa kifo kwa mauaji, kujaribu kuua waachiwa huru

Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha adhabu ya kunyongwa hadi kufa waliyohukumiwa watu wawili, baada ya kubaini kuwa ushahidi uliotumika kuwahukumu haukuthibitisha hatia yao bila kuacha shaka. Walioachiwa huru ni Emmanuel Sayi na Yohani Emmanuel, ambao awali, wao na watu wengine watano, walikutwa na hatia ya kumuua Ester Kondela na kujaribu kumuua Leticia Daud. Hukumu iliyowaachia…

Read More

TUME YA MADINI YA ONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA VIJANA

………  Na Ester Maile, DODOMA  TUME ya Madini kupitia Wizara ya Madini itaendelea kushirikiana na kundi la vijana katika kuhakikisha rasilimali iliyopo inawanufaisha ipasavyo pamoja na Taifa kwa ujumla ambapo dhamira ya dhati ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha rasilimali hiyo inawanufaisha Watanzania hususan vijana. Hayo yamesemwa leo Machi 16,2026 jijini Dodoma na…

Read More

Coca-Cola Kwanza Ltd drives growth with Tuk-Tuk Incentive

Coca-Cola Kwanza (CCK) handed over six Tuk-Tuks to top performing Official Coca-Cola Distributors as part of a Returnable Glass Bottle (RGB) incentive programme run in the fourth quarter of last year. The Tuk-Tuk incentive was open to all qualifying distributors of CCK products and aimed to reward those businesses driving growth and ensuring that a…

Read More