Ushiriki wa Watanzania Sekta ya Madini Waongezwa Kupitia Huduma za Kisheria

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza umuhimu wa utekelezaji madhubuti wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania na kulinda maslahi mapana ya nchi. Akizungumza jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha wawakilishi wa mawakili kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Ofisi ya…

Read More

KUELEKEA UZINDUZI WA WAZOHURU APARTMENTS MATHIAS CANAL ACHANGIA VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL 4 MANISPAA YA SINGIDA

Kuelekea uzinduzi wa WazoHuru Air BnB Apartments Mtaa wa Unyankae-Miembeni Manispaa na Mkoa wa Singida, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Wazohuru Media Group Limited amechangia vifaa vya michezo kwenye shule za msingi katika Manispaa ya Singida vyenye gharama ya shilingi Milioni 4.2 Vifaa hivyo vya michezo ni pamoja na jezi Jozi moja yenye jezi…

Read More

66 wapoteza maisha ajali ya ndege Colombia

Watu wasiopungua 66 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi kuanguka muda mfupi baada ya kupaa nchini Colombia, magharibi mwa msitu wa Amazon. Ndege hiyo ya kijeshi iliyokuwa imebeba watu 128, wengi wao wakiwa wanajeshi, imeanguka karibu na mji wa Puerto Leguizamo na kusababisha vifo hivyo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa. Mkuu wa majeshi ya Colombia,…

Read More

Chadema kibarua tena leo mahakamani Dodoma

Dar es Salaam. Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumanne, Machi 24, 2026 watakuwa na kibarua kingine kuishawishi mahakama wakati wa usikilizwaji wa mashauri manne yanayotokana na kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Mashauri hayo ya mapitio yaliyopewa usajili wa maombi ya…

Read More

Japan Yaanza Kuachia Akiba ya Mafuta Kukabiliana na Upungufu wa Nishati

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi Serikali ya Japan imetangaza kuanza kuachia sehemu ya akiba yake ya kitaifa ya mafuta kuanzia Alhamisi, hatua inayolenga kukabiliana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu usambazaji wa nishati duniani. Tangazo hilo limetolewa na Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao…

Read More