WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela -Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa Na Yohana Kidaga- Mohoro Wananchi wa kata nne za Muhoro, Chumbi, Mbwala na Shela katika wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya…

Read More

MRADI WA FARU MKOMAZI NI WAKUJIVUNIA: MHE MASANJA

…………. Na Sixmund Begashe, Same Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na uwekezeji uliofanywa na Serikali katika mradi wa Faru ambao umesaidia kuchechemua ongezeko la watalii katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi  iliyopo Wilayani same Mkoani Kilimanjaro.  Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, mara baada ya kutembelea na…

Read More

KITILA AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI UBUNGO

Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akimzungumza wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Ofisi ya Mbunge kwa kushirikiana na Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) ****** Na Mwandishi Wetu. Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya…

Read More

MPANDA- KIGOMA KUUNGANISHWA KWA LAMI

****** Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa Katavi kwa barabara za lami ili kuchochea uchumi wa mikoa ya kanda ya magharibi. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi Dkt. Nchemba amesema nia ni kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi ili kukuza uchumi wa wananchi katika mwambao wa ziwa…

Read More

Serikali kuendelea kuimarisha miundombinu ya elimu

  -Kamati yaridhishwa na ujenzi Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga Na Mashaka Mhando, Mkinga WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya elimu ya juu kupitia miradi ya kimkakati ikiwemo ule wa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ili kuchochea utafiti na ubunifu utakaosaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi….

Read More

WAZIRI NANAUKA -SERIKALI ITAENDELEA KUVIPA KIPAUMBELE VIKUNDI VINAVYOREJESHA MIKOPO

Na Oscar Assenga,Muheza, Tanga Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali itaendelea kuvipa kipaumbele vikundi vya vijana vinavyoonyesha uwajibikaji kwa kurejesha mikopo wanayopewa ili viweze kukuza shughuli zao za kiuchumi. Nanauka aliyasema hayo leo wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya…

Read More

Badili mazingira kuacha tabia usiyoipenda

Nilipoanza mkakati wa kuacha kutia sukari kwenye chai au kahawa, haikuwa kazi nyepesi. Kwa muda mrefu, kitendo cha kujaribu kuacha kilikuwa kama adhabu fulani hivi kwangu. Ningeweza, mathalani, kujitahidi kuacha sukari kwa siku kadhaa lakini baadae ningejikuta nikijiambia, ‘acha nitumie sukari leo kwa mara ya mwisho. Kesho nitaendelea na mpango wangu.’ Haikuwa sukari pekee. Kwa…

Read More

Manusura ajali ya boti Kigoma, wafunguka

Kigoma. Majeruhi walionusurika katika ajali ya boti iliyouwa saba, wakiwemo watumishi wanne wa idara ya afya mkoani Kigoma, wamesimulia mkasa mzima hadi kutokea kwa tukio hilo. Ajali hiyo, ilitokea Machi 13, 2026 katika Kijiji cha Kalalangabo ndani ya Ziwa Tanganyika, saa 2 asubuhi na mwili wa mtu mmoja hadi sasa bado haujapatikana. Majeruhi hao, wametoa…

Read More

Serikali kujenga gati mpya kilipo Chuo cha Bandari

Dar es Salaam. Serikali imekusudia kukihamisha Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)  na kutumia eneo hilo kwa ajili ya kujenga gati ikiwa ni moja ya hatua za kupanua Bandari ya Dar es Salaam. Kuhamishwa kwa chuo hicho, kunalenga kukipeleka katika eneo kubwa zaidi la Kimbiji lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam kutoka katika eneo…

Read More