RIPOTI MAALUMU: Asilimia 40 ya shule za sekondari nchini hazina maabara za sayansi
Lushoto/Rombo. Shule mbili kati ya tano za sekondari za Serikali nchini hazina uhakika wa kuzalisha wabobezi wa masomo ya sayansi kutokana na ukosefu wa maabara za kujifunzia. Hali hiyo inalazimisha wanafunzi wengi kujifunza sayansi kwa nadharia pekee, bila kupata fursa ya kufanya majaribio ya vitendo. Kwa mujibu wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala…