Pengo la sayansi kati ya wavulana na wasichana linazibika
Dar es Salaam. Katika dunia inayokimbia kwa kasi ya mapinduzi ya nne ya viwanda, sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM) zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa maarifa. Ajira nyingi zenye tija na mishahara mikubwa zinahusiana moja kwa moja na taaluma hizi. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake, bado kuna pengo la wazi kati ya…