KATORO YAPOKEA GARI LA TANESCO KURAHISISHA USAMBAZAJI WA NGUZO.
Mapinduzi ya nishati ya umeme katika Jimbo la Katoro yameingia hatua mpya leo, baada ya kupokelewa kwa gari maalum la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lenye uwezo wa kubeba tani saba (7), likilenga kurahisisha usambazaji wa huduma. Gari hilo limekuja wakati muafaka ambapo TANESCO imeanza kutumia nguzo za zege ambazo ni imara zaidi lakini zina…