SOMBA AANZA KAZI NA TPBRC
****** Afisa habari wa chama cha makocha wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania TPBCA, Dauka Somba amefanya kikao na makamu mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania, TPBRC, Jacob Mbuya. Somba na Mbuya wamefanya kikao hiko leo katika ofisi za TPBRC zilizopo Ilala jijini Dar es salaam lengo likiwa ni kuandaa mikakati ya kuboresha…