REA IMEBEBA AJENDA YA MAENDELEO YA WATU WA VIJIJINI MKOANI GEITA – MWENYEKITI KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusambaza umeme ili kuhakikisha wananchi wanaoishi pembezoni mwa miji na vijijini wanapata huduma hiyo muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akizungumzia mafanikio ya Miradi ya kusambaza umeme…