FURSA MPYA ZA MADINI ZAWAFIKIA VIJANA

-Tume ya Madini yatangaza miradi, maeneo ya uchimbaji na mikopo ya uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Dodoma Tume ya Madini imetangaza mipango ya miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali kwa vijana katika mwaka wa fedha 2026/2027, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika Sekta ya Madini….

Read More

Fahamu Faida 7 za Ajabu za Kula Mlenda Mwilini

Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Mlenda ni mboga inayopatikana kwa urahisi sokoni na majumbani, lakini watu wengi hawajui kuwa ni dawa asilia yenye virutubisho vingi sana. Licha ya ute wake, mlenda una faida kubwa kiafya na unashauriwa kuingizwa mara kwa mara kwenye mlo. Hizi hapa ni baadhi ya faida zake muhimu: 1. Huboresha…

Read More

WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela -Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa Na Yohana Kidaga- Mohoro Wananchi wa kata nne za Muhoro, Chumbi, Mbwala na Shela katika wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya…

Read More

MRADI WA FARU MKOMAZI NI WAKUJIVUNIA: MHE MASANJA

…………. Na Sixmund Begashe, Same Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na uwekezeji uliofanywa na Serikali katika mradi wa Faru ambao umesaidia kuchechemua ongezeko la watalii katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi  iliyopo Wilayani same Mkoani Kilimanjaro.  Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, mara baada ya kutembelea na…

Read More

KITILA AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI UBUNGO

Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais–Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akimzungumza wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Ofisi ya Mbunge kwa kushirikiana na Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) ****** Na Mwandishi Wetu. Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya…

Read More