VITA MASHARIKI YA KATI: Tujipange, bei ya mafuta kupaa
Dar es Salaam. Mpaka sasa vita vya Mashariki ya Kati vinavyohusisha Marekani na Israel dhidi ya Iran vimegharimu maisha ya watu wengi katika mataifa hayo, lakini kwa Afrika vinang’ata kwa namna yake, ikiwemo kupanda kwa bei na changamoto ya upatikanaji wa mafuta. Tayari bei ya mafuta imepanda hadi kufikia karibu Dola 100 za Marekani jana,…