Watafiti wabaini aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee

Morogoro. Wataalamu na watafiti wa uyoga pori, wamesema tafiti mbalimbali zilizofanywa zimebaini kuwepo kwa aina sita za uyoga zinazopatikana Tanzania pekee, hali inayoiweka nchi katika nafasi nzuri ya kukuza zao hilo katika soko la kimataifa. Sambamba na hilo, wamesema wameanza mkakati wa kuongeza tafiti za kisayansi ili kuimarisha uzalishaji wa zao hilo kibiashara na kulipendekeza…

Read More

Atupwa jela miaka 12 kwa kumuua mkewe

Mtwara. Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mtwara, imemuhukumu kifungo cha miaka 12 jela Ally Abrahaman (45), mkazi wa Kijiji cha Mbagala-Mbuyuni, Kata ya Mkokona mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia. Abrahaman alipatikana na hatia ya kumsababishia kifo Catherine Chivale (69), ambaye ni mkewe, baada ya kumshambulia kwa kumpiga sehemu…

Read More

Waziri Mkuu Asisitiza Amani, Maadili Na Ushirikiano Na Taasisi Za Dini – (Picha +Video)

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za dini nchini katika kulinda amani, kuimarisha maadili na kuchochea maendeleo ya Taifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo Jumapili (Machi 15, 2026) wakati akitoa salamu katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mpanda Mjini, Dayosisi ya…

Read More

Jinyakulie Samsung A26 Mpya kwa Kucheza Super Heli

Global Publishers March 15, 2026 0 Comments Katika ulimwengu wa michezo ya kubahatisha, kila mchezaji hutafuta si tu burudani, bali pia ushindi wa maana. Na sasa, Meridianbet imekuja na ofa ya kipekee yenye msisimko na matarajio makubwa, nafasi ya kushinda simu mpya kabisa ya Samsung Galaxy A26 kwa kucheza mchezo wa Super Heli. Super Heli…

Read More