ONGEA NA ANTI BETTI: Mke wangu amenifumania, amekaa kimya

Anti ninashindwa niseme au nifanye nini kwani maana mke wangu anataka kuniua kwa kihoro. Nilikuwa na uhusiano na rafiki yake (nimeacha na sitorudia tena usiniseme vibaya), amejua maana alikuta ujumbe mfupi wa mahaba akaniuliza nikakataa. Nadhani alikuwa anatufuatilia kwani alitukuta uso kwa macho tukiwa hotelini nje ya mji tunaogelea kwenye jakuzi. Siyo jakuzi la jumuia…

Read More

JIONI YA BARAKA FAMILIA YA OYA YASHIRIKI IFTAR NA JAMII

Taasisi ya Oya Micro-crediti imeandaa futari maalum kwa wateja wake na jamii kwa ujumla tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii. Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni wakati wa kutafakari, kushukuru, na kushirikiana na jamii katika kujitoa kwenye mambo mablimbali. Kwetu OYA, tunaamini kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi tu kwa ukuaji wa biashara, bali pia kwa mchango…

Read More

Hii ndiyo tofauti ya kuoa, kuolewa na kuoana

Ndoa ni taasisi kongwe zaidi duniani, lakini bado inasalia kuwa mada yenye utata, hisia kali na tafsiri tofauti kulingana na utamaduni, dini na mabadiliko ya kijamii. Katika jamii yetu ya Kitanzania, maneno haya matatu: kuoa, kuolewa na kuoana hutumika kwa kubadilishana kana kwamba yana maana moja. Hata hivyo, wataalamu wa saikolojia na uhusiano wanabainisha kuwa…

Read More

MAHUBIRI: Njia za Mungu kujiondoa katika mipaka ya kiroho

Bwana Yesu asifiwe! Karibu kwenye tafakari ya Neno la Mungu siku ya leo Jumapili ambapo tumepewa somo linalosema ‘Njia za Mungu kujiondoa katika mipaka ya kiroho’. Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi yanayoonekana kwa macho, lakini pia kuna mambo mengi yasiyoonekana yanayotawala maisha ya watu. Moja ya mambo hayo ni mipaka katika ulimwengu wa…

Read More

Zimamoto Mbeya wasaka mwili wa mtoto aliyesombwa na mafuriko

Mbeya. Wakati matukio ya watu kusombwa na maji yakiendelea kujirudia mkoani Mbeya, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo limesema linatarajia kuanza kampeni maalumu ya kuwafikia wananchi kutoa elimu ya tahadhari, hususani kipindi hiki cha mvua. Hatua hiyo inakuja baada ya matukio ya watu wawili, akiwamo mtumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali, idara ya…

Read More