Sh3 bilioni zatengwa kuboresha miundombinu ya elimu Mbarali

Mbarali. Kwa miaka mingi baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari katika Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya wamekuwa wakilazimika kutembea umbali mrefu kila siku kufuata masomo, hali inayochosha na wakati mwingine kuwakatisha tamaa ya kuendelea na shule. Hata hivyo, hali hiyo huenda ikawa historia baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kutenga zaidi ya…

Read More

Meneja wa Global Azungumzia Umuhimu wa Kuishi Kwa Maadili Baada ya Kifo cha Ssebo – Video

Global Publishers March 14, 2026 0 Comments Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho leo Machi 14, 2026 amesema kuwa kifo ni fumbo na kila mwanadamu anapaswa kujiandaa nacho kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kukikwepa. Mrisho ameyasema hayo kufuatia kumalizika kwa ibada ya kumuombea aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Ssebo, iliyofanyika…

Read More

Profesa Mahalu aagwa Dar, wanazuoni wasema…

Dar es Salaam. Mwili wa mwanadiplomasia na mwanazuoni nguli, Profesa Costa Mahalu umeagwa jijini Dar es Salaam, huku wanazuoni na wanasiasa wakimtaja kuwa miongoni mwa viongozi waliopenda kuibua vipaji na kuendeleza vijana waliokuwa vyuoni. Mbali na hilo, wamesema Profesa Mahalu ambaye alikuwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Augustine (Saut) alikuwa mhamasishaji mnyenyekevu, mpenda…

Read More

Faida nane cha kituo cha kuwanoa wajasiriamali

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametaja faida nane zitakazopatikana kupitia kituo kipya cha pamoja cha kuwezesha manunuzi na mauzo ya nje, akisema kitawarahisishia wajasiriamali kupata mitaji na teknolojia za kisasa za uzalishaji. Amesema matokeo chanya ya kituo hicho yanatarajiwa kuanza kuonekana mwaka 2030, ambapo programu…

Read More

Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa  Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…

Read More