Magazeti
JAB: Uhuru wa Vyombo vya Habari Upo, Lakini Lazima Uendane na Maadili
Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesisitiza kuwa uhuru wa vyombo vya habari nchini upo, unalindwa kisheria na unatambuliwa katika Katiba pamoja na Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229, huku ikitoa wito kwa wanahabari kuzingatia maadili na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Kauli hiyo ya JAB imetolewa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 13, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 13, 2025 appeared first on Global Publishers.
Hisa za NMG zapaa kwa asilimia 28.3 ndani ya saa 48
Dar es Salaam. Bei ya hisa za kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG) imeongezeka kwa asilimia 28.3 ndani ya siku mbili kufuatia tangazo la Jumanne kuwa mfanyabiashara Rostam Aziz ananunua hisa nyingi katika kampuni hiyo. Jana, bei ya hisa hizo katika soko la hisa la Nairobi (NSE) iliongezeka kwa asilimia 7.6 na kufikia…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 12, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 12, 2025 appeared first on Global Publishers.
Rostam aahidi uhuru wa uhariri NMG
Dar/Nairobi. Mfanyabiashara Rostam Azizi amesema uwekezaji wake katika kampuni ya Nation Media Group (NMG) hautaathiri weledi wa uandishi wa habari uliojengwa na vyombo vya habari nya kampuni hiyo kwa muda mrefu. Amesema uwekezaji wake utaendelea kuheshimu misingi ya uhariri, viwango vya taaluma ya uandishi wa habari na imani ya umma, ambayo imeijengea heshima kampuni ya…
Rostam Aziz Anunua Hisa za Nation Media Group kutoka AKFED
Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz Aga Khan Fund for Economic Development imetangaza kufikia makubaliano ya kuuza hisa zake zote katika Nation Media Group kwa mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taarifa Limited. Katika taarifa rasmi, AKFED imesema imeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya umiliki…