TRA United yaitibulia Singida, yavunja benchi la ufundi

MUDA mchache baada ya leo Aprili 5, 2026 Singida Black Stars kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Walima Alizeti hao wamevunja benchi lote la ufundi. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo, imesema umefikia uamuzi huo kufuatia mwenendo mbaya wa matokeo yasiyoridhisha katika kipindi cha hivi…

Read More

Mbeya Jiji yaanza tambo Shimisemita

ZAIDI ya wanamichezo 5000 wanatarajia kukutana jijini Mbeya kwa ajili ya kushiriki michuamo ya Shirikisho la Michezo kwa Serikali za Mitaa Tanzania (Shimisemita) itakayoanza Agosti 15 hadi 29 mwaka huu, huku wenyeji Jiji la Mbeya wakitamba kufanya vizuri. Michuano hiyo inatarajia kushirikisha Halmashauri zote 184 hapa nchini na mwaka huu kitaifa itafanyika jijini Mbeya, huku…

Read More

Wale wa kubania ushuzi, mnalijua hili…

Dar es Salaam. Umewahi kujamba mbele ya mwenza wako, rafiki au wafanyakazi wenzako? Achana na aibu na fedheha ulioipata, kitaalamu ulifanya tendo sahihi kwa masilahi ya afya yako. Kwa taarifa yako, kubania ushuzi kunakuweka katika hatari ya kupatwa na magonjwa kadhaa yasiyoambukiza, ikiwemo saratani, kama ilivyofafanuliwa katika ripoti za tafiti mbalimbali na wataalamu wa afya….

Read More

Yanga Yamrudisha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu hiyo imeeleza kuwa imalenga kutatua changamoto ya kiufundi klabu hiyo inayopelekea kupata wakati mgumu kupata matokeo mazuri na kucheza vizuri. Taarifa ya Machi 23, 2026 iliyotolewa na klabu…

Read More

Wanne washikwa mkono gofu kimataifa

WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. Watoto hao wanatarajia kuibeba Tanzania katika mashindano yatakayofanyika kati ya Machi 23 hadi 26 mwaka huu nchini Kenya katika Jiji la Nairobi. Watoto hao wanaoiwakilisha Tanzania ni Ibrahim Juma, Julius James,…

Read More

Dar City yabeba matumaini BAL

SERIKALI ya Tanzania imesema imejipanga kuendeleza sekta ya michezo nchini, hususan mpira wa kikapu, kufuatia hatua ya taifa kuandika historia kwa kushiriki mashindano ya Afrika (BAL) kwa mara ya kwanza ikiwakilishwa na Dar City ambayo imebeba matumaini ya kufanya vizuri. Akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…

Read More

Elie Mpanzu Asaini Mkataba Mpya wa Miaka Miwili Simba

Global Publishers March 23, 2026 0 Comments Kiungo mshambuliaji wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Elie Mpanzu, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba , hatua inayoimarisha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa mashindano ya ndani na kimataifa. Mpanzu, ambaye amekuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Simba kutokana na uwezo wake…

Read More