Mbongo asaini miwili Uturuki | Mwanaspoti

MTANZANIA mwingine Emmanuel Mlefu amejiunga na Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki kwa mkataba wa miaka miwili. Mlefu anaungana na Mtanzania mwenzie Shedrack Hebron ambaye yupo klabuni hapo tangu msimu wa 2023 akitokea Sauti Para Sports ya Tanzania na ndiye aliyefanikisha dili hilo kwa kushawishi mabosi wa timu hiyo kumsajili. Akizungumza na Mwanaspoti, Hebron…

Read More

Ukizubaa ZPL umeachwa mapema | Mwanaspoti

ULE uhondo na utamu wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) unatarajiwa kuendelea Machi 28, 2026 baada ya ligi hiyo kusimama kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaokaribia ukingoni. Katika mzunguko huu wa mwisho wa ligi hiyo, zimesalia mechi 10 kila timu baada ya kuchezwa 20 kati ya 30 na tamati ya ligi hiyo itakuwa Mei…

Read More

JKT Queens inataka mechi tatu

KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Abdallah Kessy amesema anapanga kucheza mechi za kirafiki zisizopungua tatu kabla ya kurejea kwa ligi ili kuipima timu na kujua changamoto. Kessy alisema maandalizi hayo ni muhimu kwa kikosi hicho baada ya mapumziko ya ligi na michezo ya kirafiki itampa picha halisi ya kiwango cha wachezaji wake kabla ya kurejea…

Read More

Alliance ipo sokomi ikitafuta kocha

ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayeiongoza kikosi hicho katika mzunguko wa pili. Mabadiliko hayo yanafanyika katika benchi la ufundi kufuatia aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Sultan Juma kuondoka baada…

Read More

Ceasiaa yaongeza nguvu benchi la ufundi

INAELEZWA Ceasiaa Queens imemwongeza aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma kukiongoza kikosi hicho kuelekea mzunguko wa pili wa Ligi ya Wanawake. Kabla ya kuifundisha Alliance Sultan alihudumu kwenye kikosi cha Geita Queens lakini timu haikufanya vizuri ikashuka daraja. Chanzo kililiambia Mwanaspoti Sultan amesajiliwa kama kocha mkuu kuchukua nafasi ya Ezekiel Chobanka ambaye…

Read More

Simba yatambulisha mshambuliaji | Mwanaspoti

KAIMU kocha mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema kwa sababu ya majeruhi, walikuwa na uhitaji wa mshambuliaji dirisha dogo. Simba imemtambulisha mshambuliaji kutoka Camerron, Ernestine Heutchou ukiwa ni usajili pekee wa waliofanya kipindi cha dirisha dogo na anaungana na nyota wengine watatu katika eneo hilo ambao ni Jentrix Shikangwa ambaye ni mfungaji bora…

Read More

Utamu wa Azam vs Yanga upo hapa

WALE ‘Wazee wa Mikeka’, ni wazi wikiendi hii watakuwa na kazi katika kusuka mkeka wa mechi ya Dar es Salaam Derby inayozikutanisha Azam FC na vinara wa Ligi Kuu, Yanga. Hii ni mechi ngumu uwanjani kwa wachezaji wa timu zote, lakini hata kwa ‘Wazee wa Mikeka’ wana kibarua cha kusuka mikeka yao ili itiki, kwani…

Read More

Jeuri ya Barker Simba iko hapa!

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker siku zinavyozidi kwenda, anapata jeuri kubwa ya kuendelea kufanya vizuri na kikosi hicho akiamini kina nafasi kubwa ya kufikia malengo msimu huu. Jeuri ya Barker inakuja kwa kile alichoeleza kwamba, kikosi chake kinazidi kuimarika hali ambayo inampa wakati mzuri wa kuandaa timu ya kucheza na mpinzani yeyote huku akisema…

Read More

Yalipo mabao dabi ya Azam vs Yanga

AZAM na Yanga zinakutana tena uwanjani Jumapili hii Machi 15, 2026 katika msako wa pointi tatu ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita kipindi cha takribani siku 61 tangu zilipotoana jasho kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026. Ndani ya siku 61 ambazo timu hizo tangu mara ya mwisho zikutane, kuna mambo mengi hapo…

Read More