Bato saba kali Azam vs Yanga kwa Mkapa

KUNA mechi kubwa itapigwa Jumapili hii Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ambapo wenyeji Azam FC watakapokutana na bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga, nenda kaone ufundi mwingi kwenye dabi hiyo ya Dar es Salaam. Mchezo huo utakuwa wa kwanza msimu huu kwa timu hizo kukutana kwenye ligi lakini kama unavyofahamu hakuna…

Read More

Mwezi mmoja freshi kwa Kocha JKT Tanzania

KOCHA wa maafande wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema licha ya timu hiyo kukaa kwa zaidi ya mwezi mmoja bila ya kucheza mechi za kiushindani, ila haitaathiri programu mbalimbali za kikosi hicho, kutokana na mipango mikakati waliyoiweka. Timu hiyo tangu mara ya mwisho ilipocheza na Yanga na kuchapwa mabao 5-0, Februari 25, 2026, haina mechi…

Read More

Vinara Ligi Daraja la Kwanza Unguja raha tu

VINARA wa Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors, wamesema msimamo umekuwa hamasa nzuri ya kuanza mazoezi kwa ari zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Kocha Msaidizi, Said Mwinyi akisema amefurahishwa na namna wachezaji walivyoanza mazoezi kwa ari kubwa. Black Sailor inaongoza ligi hiyo kwa pointi 53 ilizovuna katika mechi 20 na kubakisha mechi…

Read More

Laizer afichua faili la Mnigeria, Obasi

LICHA ya kiwango bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji nyota wa Fountain Gate, Mnigeria Chukwunonye Obasi, lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kutomchezesha dakika nyingi ni kutokana na sababu mbalimbali za kimsingi. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema kutokana na ufinyu wa wachezaji wengi kikosini humo baada ya kufungiwa timu hiyo kutosajili, inamlazimu kuweka…

Read More

Kocha Yanga aishika pabaya FAF

KOCHA wa Yanga, Mreno Pedro Goncalves inadaiwa anataka kulipeleka Shirikisho la Soka la Angola (FAF) katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile kinachodaiwa bado linamtambua ni mkufunzi kimkataba, licha ya kuondoka. Taarifa kutoka Angola zinadai FAF, bado linamchukulia Pedro kama kocha mkuu wa timu hiyo ya taifa, huku baadhi ya masharti muhimu yanayohusu…

Read More

Raundi 10 ZPL kuchezwa Gombani, Bodi yafafanua

KATIKA kuhakikisha Pemba inafunguka kimichezo, Bodi ya Ligi Zanzibar (ZBL) ipo katika mazungumzo ya kuomba kuutumia uwanja mkubwa wa Gombani katika raundi 10 zilizosalia za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Hatua hiyo inalenga kuzisaidia timu, hasa kutoka Pemba, kurushwa mubashara kama ilivyo za Unguja. Katika misimu miwili mfululizo, mechi zinazochezwa kwenye Uwanja wa Mao Zedong uliopo…

Read More

Chama atoa kauli nzito Simba

LICHA ya ushindani mkali uliopo katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, anaamini kikosi chao kina uwezo na ubora wa kutwaa ubingwa msimu huu. Chama amesema kikubwa kwa sasa ni wachezaji kuendelea kupambana katika kila mchezo na kuhakikisha wanatumia vizuri nafasi wanazozipata ili kuendelea kukusanya pointi muhimu. Kauli…

Read More

Ibenge ataja sifa tatu za Yanga

KUELEKEA mechi ya Dar es Salaam Dabi, itakayopigwa kesho Machi 15, kocha wa Azam, Florent Ibenge, ametaja sifa tatu za wapinzani hao huku akisema kuwa kocha wa Yanga, Pedro Goncalves ana ufundi wa hali ya juu. Yanga inatarajiwa kuvaana na Azam kesho kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu zikiwa ni timu mbili ambazo hadi sasa…

Read More

TRA v Simba mechi ya mabao, ngoma iko hapa

KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya kuendeleza ubabe wao katika mechi hii yenye rekodi ya kupatikana mabao kuanzia mawili. Timu hizo zinakutana leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha saa 10:00 jioni, huku zote zikiingia uwanjani zikiwa zimetoka kushinda…

Read More

TRA United v Simba waahirishwa, kupangwa siku nyingine

Mchezo wa Ligi Kuu Bara baina ya Simba dhidi ya TRA United umeahirishwa kutokana na miundombinu ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kujaa maji kutona na mvua zinazonyesha maeneo mbalimbali ya nchi.  Akizungumza na Azam TV, Kamishna wa mchezo huo Mussa Nyamandege amethibitisha kuhairishwa kwa mchezo huo wa ligi baada ya mvua kubwa kunyesha na…

Read More