Kili Marathon Yatangaza barabara zitakazofungwa siku ya mbio

  Wiki moja tu kabla ya kuanza kwa Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, waandaaji wa mbio hizi zenye hadhi ya kimataifa wametoa mwongozo wa kina kwa wananchi na washiriki, ikiwemo taarifa za kufungwa kwa barabara, maegesho, na masuala mengine ya kiitifaki. Tukio hili linalosubiriwa kwa hamu kubwa litafanyika Jumapili, Machi 22, 2026, katika Chuo Kikuu…

Read More

Fei Toto abeba zigo kubwa Dar es Salaam Dabi

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kesho Jumapili anakutana na waajiri wake wa zamani Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara huku akiwa na zigo zito linalomkabili. Nyota huyo ambaye huu ni msimu wa tatu anaitumikia Azam tangu alipojiunga nayo 2023-2024 akitokea Yanga. Kwa msimu huu, tayari Fei Toto amevunja rekodi yake…

Read More

Pedro Goncalves afichua hesabu mpya za Yanga

YANGA imerudi nyumbani ikijiandaa kucheza tena ugenini dhidi ya Azam FC, lakini ule mchezo dhidi ya Prisons ukampa akili mpya kocha wao, Pedro Goncalves na sasa amewatenganisha f’lani kimehesabu mastaa wake. Iko hivi: Yanga ilipocheza juzi dhidi ya Prisons na kushinda kwa bao 1-0, goli lao lilitokea benchi dakika ya 61, alipoingia mshambuliaji Laurindo Aurelio…

Read More

Ngoy awekewa mkataba mpya Namungo

WAWAKILISHI wa mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani, Fabrice Ngoy wamepokea mkataba mpya kutoka kwa uongozi wa kikosi hicho cha Wauaji wa Kusini ambao wanataka wakamilishe dili hilo mapema, kabla ya msimu huu wa 2025-2026, haujaisha. Mshambuliaji huyo aliyeitumikia Namungo kwa misimu mitatu, mkataba wake wa sasa unafikia ukomo mwishoni mwa msimu huu wa 2025-2026, ambapo…

Read More

New Stone na mtego wa kuepuka kushuka daraja ZPL

LICHA ya timu ya New Stone Town kuvuna alama tatu kwenye michezo 20 iliyocheza, bado ina matumaini ya kubaki salama katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), huku hesabu zao ni kushinda mechi 10 zilizobaki. Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mussa Bajaka alisema endapo watashinda mechi hizo, watakuwa na alama 33 katika msimamo, ambao utawapandisha nafasi za…

Read More

Pedro afichua mkakati mpya Yanga

PIGO kubwa ililopata Yanga pale kwenye safu ya ulinzi kutokana na beki na nahodha msaidizi, Dickson Job kuumia, limeendelea kuwa gumzo na kuibua wasiwasi, sio ndani ya timu pekee, bali hata kwa mashabiki wakijiuliza sasa itakuwaje bila  uwepo wake. Job ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti huku taarifa zikibainisha kwamba hadi kufikia Juni 2026 anaweza kurudi…

Read More

Barker ataja sababu za kumuweka benchi Mpanzu

LICHA ya Elie Mpanzu kuonekana kupoteza nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha Simba kufuatia ujio wa Anicet Oura na Libasse Gueye, kocha wa timu hiyo, Steve Barker ameweka wazi kuwa bado ana imani kubwa na Mkongomani huyo, huku pia akitaja sababu ya kumuweka benchi. Mpanzu ambaye kwa kipindi cha karibuni amekuwa akitokea zaidi…

Read More