Yanga yaikimbiza Simba Bara | Mwanaspoti

TUZO zinazotolewa kila baada ya mechi za Ligi Kuu Bara, ukiangalia katika vikosi vya Simba na Yanga, wageni ndio wamekuwa vinara wa kuchukua mara nyingi na idadi kubwa ya wachezaji mbele ya wazawa. Tuzo hizo zimeelezwa na wadau pamoja na makocha kuibua ushindani wa timu pamoja na kupandisha thamani ya wachezaji. Kama kawaida ya utani…

Read More

Depu aendeleza moto Ligi Kuu, Nsajigwa hali bado tete

LAURINDO Aurelio ‘Depu’ amempatia kocha Pedro Goncalves kile alichohitaji baada ya kufunga bao pekee wakati Yanga ikiichapa Tanzania Prisons. Depu ambaye alitokea benchi kipindi cha pili akiingia kuchukua nafasi ya Mohamed Damaro, dakika ya 78 alifunga bao hilo kufuatia kipa wa Tanzania Prisons, Mussa Mbissa kushindwa kuokoa mpira wa faulo uliopigwa na Allan Okello. Mechi…

Read More

Bilioni 388.8 kujenga Afcon City Unguja

WAKATI Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zitakazokuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejiandaa vizuri kupokea ugeni huo kwa kuanzisha mradi wa michezo uliopewa jina la Afcon City. Mradi huo unaojengwa Fumba kisiwani Unguja, unatarajiwa kugharimu dola za Marekani milioni 150 (Sh388.8 bilioni za…

Read More

Chamou aendeleza rekodi dhidi ya Namungo

BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji wa Kusini’, Namungo, huku akichezea timu mbili tofauti. Nyota huyo anayeichezea TRA United kwa mkopo akitokea Simba, alianza kufunga akiwa na kikosi hicho cha Msimbazi,…

Read More

Singida alenga ushindi dhidi Mbeya City

BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na kuelekeza nguvu katika mchezo dhidi ya Mbeya City. Ouma alisema licha ya kupoteza michezo hiyo migumu anaamini kikosi chake kilionyesha kiwango kizuri na kilistahili kupata…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Pedro utafakari ushauri wetu

SISI hapa kijiweni kazi yetu ni kutoa ushauri tu halafu mwisho wa siku tunamuachia muhusika mwenyewe achague kuufanyia kazi au kuachana nayo. Kwa sababu tuna uzoefu kidogo na soka la Tanzania, kuna dalili fulani zikianza kujitokeza tunaanza kupata picha ya kile kinachoweza kutokea mbele ya safari kama kitakuwa na neema au nuksi. Hilo ndilo linatufanya…

Read More