Mchujo Ukonga Kings si mchezo

MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), mwaka huu. Habari kutoka ndani ya kikosi hicho zinaeleza kwamba, uongozi umepanga kufanya mchujo kwa ajili ya kusaka vipaji vitakavyoongezwa…

Read More

Usipojipanga BDL imekula kwako | Mwanaspoti

WAKATI timu zikisubiri kutangaziwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), timu zitakazoshindwa kujipanga vizuri huenda zikajikuta zikikumbana na vichapo vya kushangaza kutokana na namna ambavyo maanadalizi yanaendelea. Ugumu kwa baadhi ya timu hizo huenda ukachangiwa na ubora wa timu zoefu zilizopo katika ligi hiyo ambazo husajili wachezaji wazoefu…

Read More

Bandari, Planet kinapigwa fainali ya pili

JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet. Fainali hiyo itafanyika Machi 15, 2026 katika Uwanja wa Mirongo mjini Mwanza, ikitanguliwa na mchezo wa fainali ya wanawake kati ya Eagle Queens na Court Queens. Nyota wa Bandari Mwanza, Alphonce Kasekwa alisema timu yake imekuwa ikirekebisha…

Read More

Kipa Mlandege aja na mawili ZPL

KIPA wa Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Hamad Ubwa ‘Baro’ amesema ana kibarua cha kutetea ubingwa na timu hiyo na kuwa kipa bora wa msimu. Pia, Baro amesema ana mkakati wa kuhakikisha anakuwa kipa bora kwenye msimu huu wa 2025-2026. Matumaini ya Mlandege kutetea ubingwa huo yapo katika mechi 10 zilizobaki…

Read More

SMZ kukuza vituo vya michezo Zanzibar 

SERIKALI imesema itakiunga mkono kituo cha Olympafrica Zanzibar kilichopo visiwani hapa kwa kukifanyia maboresho ya miundombinu kwani kinakuza vipaja vya michezo kwa watoto. Hayo yameelezwa na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu, Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji wa Serikali, Profesa Mohammed Hafidh Khalfan alipotembelea kituo hicho kilichopo Dole, Wilaya ya Magharibi A, Unguja. Profesa…

Read More

Yanga Yachanja Mbuga Ligi Kuu Licha ya Kutolewa CAF

Je unajua kuwa ni rahisi sana kwako wewe kusuka jamvi na Meridianbet endapo Mechi za Yanga zitakuwa zinachezwa?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja sasa ingia na ubashiri hapa. Yanga wameendelea kuthibitisha kwa nini wanabaki kuwa moja ya timu kubwa zaidi katika soka la Tanzania. Wakiwa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada…

Read More