ZFF yataja mikakati ya kuinua soka Zanzibar

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai amesema shirikisho hilo linaendelea na jitihada za kuleta mabadiliko katika Ligi Kuu Soka Zanzibar ili kutambulika zaidi Afrika. Alisema mbali na ubora wa wachezaji, ligi hiyo inanufaika kwa kuboreshwa kwa miundombinu ya michezo na makocha wazoefu ambao wamewahi kufanya kazi kwenye baadhi ya klabu…

Read More

Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu

Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam. Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa wameamua kucheza mechi hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa vile wamiliki wamewapa ruhusa ya kuutumia kwa…

Read More

Doumbia ni suala la muda tu Yanga

UONGOZI wa Yanga, umetaja mambo mawili ambayo yatalifanya benchi la ufundi la timu hiyo kuamua kuwarejesha kikosini au kuachana na nyota watatu wa kimataifa ambao timu hiyo imewatoa kwa mkopo kwenda timu tatu tofauti katika nchi za Afrika Kusini, Algeria na Afrika Kusini. …

Read More

ASEC yafunguka usajili straika Simba

SIMBA inapiga hesabu za kumchukua staa wa ASEC Mimosas, Souleymane Fofana ambaye ni mjuzi wa kufumania nyavu kwa mabao ya viwango. Sasa uongozi wa klabu yake umefunguka namna ya kukamilika kwa dili hilo. Simba inapiga hesabu kali za kumsajili mshambuliaji Fofana anayeichezea ASEC…

Read More

Yanga yaitibulia Simba, Backer akiri!

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker ameeleza kile kipigo ilichopokea Singida Black Stars cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga, kwao kimewaongezea ugumu wanapokwenda kukutana na Walima Alizeti hao, lakini wamejipanga kufanya kweli. Barker ameliambia Mwanaspoti: “Pamoja na ugumu huo, nimewajenga wachezaji kimbinu na…

Read More

Hii ni safari mpya ya Kagoma Simba

BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea safari yake mpya namna alivyo na kazi ya kuhakikisha mchango wake unakuwa muhimu katika kutimiza malengo ya timu. Kagoma aliyezaliwa Gungu, Kigoma Aprili 3, 1996 na sasa ana umri wa miaka 29), alijiunga na Simba Julai 8,…

Read More

Yanga, Simba zapishana na mamilioni CAF

Hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu wa 2025/2026 inaanza wiki hii bila uwepo wa klabu za Tanzania kwa vile klabu za Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars zimeishia katika hatua ya makundi. Timu hizo nne za Tanzania hasa Simba na Yanga ni kama zimepishana…

Read More

Pata ODDS Zote za Simba Ndani ya Meridianbet

Meridianbet inakwambia kuwa unaweza ukabashiri mechi zote za Simba ambapo ODDS zao ni kubwa lakini pia mechi hiyo inakuwa na machaguo unayoyapenda. Jisajili na ubashiri sasa. Kwenye ligi kuu ya Tanzania yaani (NBC Premier League), Simba imekuwa ikikumbwa na mwenendo usio thabiti wa matokeo. Kumekuwa na vipindi vya ushindi vinavyofuatwa na matokeo yasiyoridhisha, hali iliyosababisha…

Read More

Simba, Yanga zarudishwa tena Zanzibar, kukichafua Aprili 21

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, timu hizo zimetajwa kati ya nane zinazotarajiwa kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2026. Kwa kutajwa huko, timu hizo zinatarajiwa kurejea tena Zanzibar kusaka heshima baada ya kushindwa kutambiana…

Read More