Uhamiaji yaanza kuuwinda ubingwa ZPL

WAKATI Ligi Kuu ya Zanzibar ikisimama kwa ajili ya kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku ikitarajiwa kuendelea Machi 28, 2026, Kocha Mkuu wa Uhamiaji, Abdul Saleh amesema timu hiyo itaanza mazoezi hivi karibuni. Alisema timu hiyo inajinoa kwa ajili ya kujiandaa na mechi 10 za mzunguko wa mwisho wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL)…

Read More

Yanga ilivyomchomoa kocha Uingereza | Mwanaspoti

KATIKA mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana, Yanga imeonyesha kuwa siriazi na jambo lake baada ya kumchomoa Kocha Mohamed Badru huko Uingereza ambako alikuwa akiinoa May & Baker F.C. Badru atakuwa kocha mkuu wa mradi wa Yanga Soccer School, uliozinduliwa Novemba 15, 2025, ukilenga kutafuta wachezaji wenye vipaji kati ya umri wa miaka…

Read More

Prisons v Yanga kupigwa Ali Hassan Mwinyi Tabora

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa Sokoine kwa kukosa sifa ya kuchezewa mechi za mashindano yaliyo chini ya shirikisho hilo, Tanzania Prisons imehamishia mechi yake dhidi ya Yanga mkoani Tabora kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Sokoine umefungiwa jana Machi 8, 2026 ikiwa ni muda mfupi baada ya mechi…

Read More

Fei Toto awaibua wakongwe Ligi Kuu Bara

WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha Kombe la Shirikisho la CRDB (FA),  Feisal Salum ‘Fei Toto’ ndiye kinara anayehusika kwenye mabao hadi sasa akikaribiwa na mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, huku wachezaji wa zamani wakimpa maua yake. Kwenye chati ya ufungaji Fabrice Ngoy wa Namungo ndiye anaongoza kwa kufunga mengi akiwa nayo nane mbele…

Read More