Josiah afichua ishu ya Ally Salim

LICHA ya kipa namba moja wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukosekana uwanjani kutokana na majeraha ya bega, lakini kocha Amani Josiah amesema hatakuwa na haraka ya kumtumia, kwani lengo ni kumuona akiwa fiti zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah amesema kipa huyo anaendelea na programu maalumu ya madaktari wa kikosi hicho, ingawa muda si mrefu mashabiki…

Read More

Msuva anausoma mchezo Coastal Union

WINGA wa Coastal Union, James Msuva amesema bado anahitaji muda kuzoea mazingira ya timu mpya akieleza kuwa kujiunga na kikosi hicho katikati ya msimu kimempa shida kidogo. James alijiunga na Wana Mangushi kufuatia kuachana na KenGold mwishoni mwa msimu uliopita na baadae kutambulishwa Coastal kipindi cha dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Januari 1, 2026 na…

Read More

Ujumbe wa TAMWA kwa wanahabari wanawake 

WAKATI kesho Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani, waasisi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), wamekutana na kukumbushia safari ya mafanikio ya chama hicho na kuhamasisha kizazi kipya cha wanahabari wanawake kuendelea kupambana. Waasisi hao walikutana katika tukio maalum la futari lililofanyika jana Ijumaa Machi 6, 2026 kwenye ukumbi wa TAMWA…

Read More

Ibenge awageukia washambuliaji wake | Mwanaspoti

AZAM FC baada ya kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara ugenini na kutoka sare zote, leo Jumapili itakuwa nyumbani ikiikaribisha Mbeya Kwanza katika hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku kocha wa kikosi hicho, Florent Ibenge akisema kuna kitu amekishtukia kwa washambuliaji wake. Pointi mbili ilizovuna Azam kwenye mechi hizo…

Read More

Kipa Singida BS afutiwa tuhuma za upangaji matokeo

ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo kwa kipa Amas Obasogie aliyekuwa akituhumiwa na ishu ya upangaji matokeo. Hatua hiyo inakuja baada ya Februari 27, 2026, taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa…

Read More

Kuna kombe linatafutwa | Mwanaspoti

BAADA ya mabingwa mara tatu wa Kombe la Shirikisho la FA, Simba kutoka suluhu (0-0), dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga katika mechi ya Ligi Kuu, iliyopigwa Machi 1, 2026, kikosi hicho kinashuka tena uwanjani leo kuiwinda tiketi ya michuano ya CAF. Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwa mara ya kwanza…

Read More