SWAHILI: ICEA LION Yazindua Simba Wa Bima, Ikisisitiza Ulinzi Katika Kila Hatua ya Maisha

Mkurugenzi wa Matekelezo na Huduma za Uthaminishaji wa TIRA, Alex Rocky (mwenye skafu) aliyemuawakilisha Kamishna wa TIRA, Dk. Baghayo Saqware akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya bima ya ICEA Lion Group, James Ndegwa (kushoto) ikiwa ni  uzinduzi wa kampeni ya Simba Wa Bima inayolenga   kujua umuhimu wa   kulinda familia, kupanga maisha…

Read More

Dodoma Jiji, JKT TZ kuanza msako wa CAF

TIKETI ya kuisaka michuano ya kimataifa msimu ujao, inaanza leo Ijumaa kwa mechi za raundi ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku JKT Tanzania, Dodoma Jiji na TRA United zinazoshiriki Ligi Kuu Bara, zikishuka viwanja mbalimbali. JKT Tanzania iliyoichapa Pan African mabao 7-0, katika mechi ya raundi ya 64 bora, itakuwa kwenye…

Read More

Aliyekataa bao, aliyefunga wafungiwa | Mwanaspoti

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imetoa adhabu kwa klabu, wachezaji na waamuzi kufuatia matukio yaliyojitokeza katika michezo mbalimbali  ikiwemo Dabi ya Kariakoo iliyopigwa wikiendi iliyopita, Zanzibar. Katika uamuzi huo uliotangazwa Machi 6, 2026, Simba imeadhibiwa kwa makosa yaliyotokea katika michezo tofauti ya Ligi Kuu Bara. Katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Simba imetozwa faini…

Read More

Siku tatu ngumu za Sowah Simba

NI takribani wiki moja imepita tangu taarifa za mshambuliaji wa Simba, Jonathan Sowah ziripotiwe huku ikielezwa amesimamishwa kutokana na madai ya utovu wa nidhamu. Wakati muda huo ukipita huku kukiwa na ukimya kidogo, mapya yameibuka na kuelezwa uongozi wa klabu hiyo umempa siku…

Read More

Mkongomani Namungo awekewa mkataba mpya

UONGOZI wa Namungo FC, uko katika mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkongomani, Fabrice Ngoy, baada ya mabosi wa timu hiyo kuridhishwa na kiwango chake. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa Namungo, Ally Suleiman alisema mazungumzo na nyota huyo ili kuongeza mkataba mpya yameanza na yamefikia katika hatua nzuri, baada ya kuridhishwa na…

Read More