Bonasi yaibua ushindani BDL | Mwanaspoti
NAHODHA wa Stein Warriors, Mwalimu Herry amekiri kuna mabadiliko makubwa katika mchezo huo, yakichangiwa na udhamini pamoja na bonasi zinazotolewa kwa wachezaji. Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imekuwa ikipiga hatua kila msimu kutokana na kuwepo kwa wadhamini tofauti na miaka ya nyuma na hii imeongeza ushindani kwa wachezaji wakiwania pia kupata bonasi….