Straika wamliza Maxime | Mwanaspoti
WAKATI mashabiki wa Mbeya City wakilia na matokeo yasiyoridhisha, kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime amesema tatizo ni upepo kikosini na ubutu wa straika wake katika kutumia nafasi wanazopata. Hata hivyo, amewatuliza mashabiki kuwa Mbeya City itarejea vyema kwani ligi haijaisha, huku akionesha kutofurahishwa na baadhi yao wanaoingilia majukumu ya kupanga kikosi uwanjani. Mbeya…