Azam vs Yanga kupigwa Chamazi
MAJIBU ya maswali kuhusu wapi Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu itachezwa yamepatikana baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kupisha maboresho yanayolenga Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027. Dabi hiyo itakayochezwa Machi 15, 2026 imehamishiwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es…