Barnabas aanika mipango Transit Camp

KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya Championship, hususani mechi hizi za mwishoni. Akizungumza na Mwanaspoti, Barnabas, amesemalicha ya kukabidhiwa majukumu hayo makubwa, ila jambo analojivunia ni kukaa na timu hiyo kwa…

Read More

Barnabas aanika mipango Transit | Mwanaspoti

KOCHA mpya wa Transit Camp, Vicent Barnabas amesema ataendelea kusimamia malengo ya timu hiyo ya kuhakikisha inapanda Ligi Kuu Bara msimu huu, licha ya ushindani mkubwa uliopo katika Ligi ya Championship, hususani mechi hizi za mwishoni. Akizungumza na Mwanaspoti, Barnabas, amesemalicha ya kukabidhiwa majukumu hayo makubwa, ila jambo analojivunia ni kukaa na timu hiyo kwa…

Read More

Mwanza, Singida kuna ngoma nzito Ligi Kuu

BAADA ya hekaheka za Dabi ya Kariakoo iliyopigwa jana usiku kwenye Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar, uhondo wa Ligi Kuu Bara umehamia katika miji ya Mwanza na Singida wakati mechi mbili za Ligi Kuu zikitarajiwa kupigwa leo. Simba na Yanga ziliumana juzi katika pambano la kwanza la Ligi Kuu kwa msimu huu ambapo bila…

Read More

Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar

Ni sahihi kusema hakuna unyonge! Simba imemaliza uteja wa kupoteza michezo mitano dhidi ya Yanga baada ya kulazimisha suluhu kwenye mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar. Huu ulikuwa mchezo wa kwanza Simba wanaitawala Yanga kwa dakika nyingi katika michezo ya hivi karibuni, huku ikiwatumia wachezaji wake wapya, Libase Gueye,…

Read More

Simba yafika uwanjani, yatumia mlango usio rasmi

Kikosi cha Simba kimewasili Uwanja wa New Amaan Complex saa 12:37 jioni tayari kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa kuanzia saa 2:15 Usiku. Katika hali ya kushangaza, kikosi hicho kimetumia mlango usio rasmi kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kikitumia mlango wa VIP ambapo ni kinyume na utaratibu. Bodi ya Ligi wakati inafanya…

Read More