Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons

KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani mkubwa uliopo msimu huu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Nsajigwa aliyeachana na Transit Camp inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu, alitambulishwa rasmi kukiongoza kikosi…

Read More

Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More

Kariakoo Derby Kupigwa Amaan Complex Leo Usiku

Global Publishers March 1, 2026 0 Comments Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Zanzibar usiku wa leo wakati watani wa jadi watakapokutana katika pambano la Kariakoo Derby. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Amaan Stadium (Amaan Complex) kuanzia saa 2:15 usiku, huku presha ikiwa kubwa kwa kila upande kusaka ushindi muhimu….

Read More

Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB

ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Tangu Juni, mwaka jana, nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Ibrahim Mwayela baada ya rais wa TFF, Wallace Karia kumsimamisha aliyekuwa akihudumu katika nafasi hiyo, Almas Kasongo, kufuatia mgogoro ulioibuka baada…

Read More

Fountain Gate yalamba dili | Mwanaspoti

TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu yao uwanjani. Dili jipya la timu hiyo ukiondoa yale ya udhamini wa jumla katika Ligi Kuu Bara yanayotolewa na wadhamini wa michuano hiyo, limetoka katika maji ya…

Read More

Bunge lawaita wananchi kushiriki marathoni

MBUNGE wa Makete na Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga amewataka wananchi kujumuika na wabunge katika mbio za marathoni za Bunge zinazotarajiwa kufanyika Julai 18, mwaka huu. Mbio hizo zinalenga kuchangia damu salama na kuimarisha afya. Marathoni hiyo ambayo ni ya msimu wa tatu inatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Jamhuri, Dodoma ikikutanisha wakimbiaji wa kilomita…

Read More