Offen Chikola ni mapambano tu
KIUNGO mshambuliaji wa Singida Black Stars, Offen Chikola amesema msimu huu upande wake ni wa kujifunza vitu vingi, huku akiwa amecheza kwa dakika 50 pekee dhidi ya Fountain Gate tangu ajiunge na timu hiyo kwa mkopo kipindi cha dirisha dogo Januari 2026 akitokea Yanga. Chikola aliyejiunga na Yanga msimu huu kwa mkataba wa miaka mitatu…