Josiah atambia rekodi mpya Dodoma

KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amesema suluhu (0-0), iliyoipata timu hiyo juzi dhidi ya Simba ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho cha ‘walima Zabibu’, kufuata vyema maelekezo yake ya kucheza kwa nidhamu kubwa na kwa heshima. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah, alisema haikuwa mechi rahisi kutokana na jinsi wapinzani wao walivyokuwa wanacheza, ingawa…

Read More

Fountain, Namungo Ligi Kuu ya NBC, mechi ya mipango

WAKATI leo Alhamisi Fountain Gate na Namungo zikiwa viwanja tofauti kusaka pointi Ligi Kuu Bara, unaweza kusema  hali ni tete kwa timu hizo ndani ya raundi tano zilizopita sawa na dakika 450 zimeshindwa kuibuka na ushindi. Katika mechi tano zilizopita, Yanga ndiyo iliyokusanya pointi nyingi zaidi ambazo ni 15 (kabla ya mechi ya jana) dhidi…

Read More

Mtibwa hali mbaya, yapigwa tena Chamazi

NINI kimeikuta Mtibwa Sugar? Ni swali unaloweza kujiuliza kufuatia timu hiyo kupoteza mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Yusuf Chipo. Chipo ambaye alitambulishwa Novemba 17, 2025 kuifundisha Mtibwa Sugar baada ya aliyeipandisha daraja timu hiyo, Awadh Juma kukosa vigezo vya kuwa kocha mkuu, alikuwa na mwendo mzuri mwanzoni katika mechi nane…

Read More