Prisons yaachana na Otieno, Nsajigwa atajwa kumrithi

BAADA ya Tanzania Prisons kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Zedeckia Evans Otieno, inaelezwa iko katika hatua nzuri ya mikoba yake kumkabidhi Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ kutoka kwa maafande wa Transit Camp. Taarifa ya Tanzania Prisons kuachana na Otieno iliyotolewa leo Februari 25, 2026 na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ‎Godfrey Madegwa, imesema:…

Read More

Mama lishe aliyegeukia udereva wa daladala

Dar es Salaam. “Asante, rubani wetu! Asante, mwanamke wa shoka, kwa kutufikisha salama salmini! Mungu akubariki sana!” Haya ni baadhi ya maneno yanayosikika kutoka kwa abiria wakimpongeza Joyce Foya kila anapowafikisha salama mwisho wa safari zao. Kauli hizo si za kawaida katika usafiri wa daladala, jijini Dar es Salaam, bali ni ishara ya heshima na…

Read More

Mtoto wa Mjini – 6

HUKU akiendelea kuwatazama kwa zamu vijana wale kutaka kuwakumbuka kama aliwahi kuwaona mahali, mzee Mangushi alijibu: “Marhaba…”Na baada ya kutambua sura zao zilikuwa ngeni machoni pake, akawauliza: “Niwasaidie nini?” “Kuna shida kidogo mzee wangu,” alisema mmoja wao na kumfanya mzee Mangushi kuutoa mwili wake wote nje ya mlango.“Shida gani tena?” alihoji uso wake ukitaliwa na wasiwasi.“Mimi…

Read More