Prisons yaachana na Otieno, Nsajigwa atajwa kumrithi
BAADA ya Tanzania Prisons kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Zedeckia Evans Otieno, inaelezwa iko katika hatua nzuri ya mikoba yake kumkabidhi Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ kutoka kwa maafande wa Transit Camp. Taarifa ya Tanzania Prisons kuachana na Otieno iliyotolewa leo Februari 25, 2026 na Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Godfrey Madegwa, imesema:…