Mechi tatu zinazoiremba Dabi ya Kariakoo Zanzibar
MECHI tatu za Ligi Kuu Bara zinatarajiwa kuchezwa leo Jumatano zikihusisha Yanga, Simba na Azam ambazo wikiendi iliyopita zilirejea katika mikiki ya ligi hiyo baada ya kuishia hatua ya makundi katika michuano ya kimataifa. …