Saa 72 zinavyoleta hatari mpya Ligi Kuu Bara, wataalamu wafafanua
AZAM, Yanga na Singida Black Stars, hatimaye zimekamilisha duru la kwanza la Ligi Kuu Bara, huku ikiiacha Simba ikiwa bado na mechi mbili nayo kufunga hesabu hizo. Kumbuka timu hizo nne zilikuwa na viporo vingi vilivyotokana na ushiriki wao wa michuano ya CAF msimu huu na Simba na Yanga zilikuwa Ligi ya Mabingwa, wakati Azam…