Uhamiaji yatoa mwelekeo mechi 10 ZPL
MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao. Alisema hilo limekuwa ahueni kwao ikizingatiwa mechi 10 za mwisho zitachezwa mfululizo, hivyo limewajenga vizuri kimwili na kiakili. Mwenyekiti huyo alisema Uhamiaji ya msimu wa 2025-2026…